|

|
 |
| Grants 2006 |
 |
  |
MATOKEO YA MAOMBI YA MSAADA MWAKA 2006
Mfuko wa Utamaduni Tanzania unayo furaha kuwatangazia matokeo ya maombi ya ufadhili kwa mwaka huu 2006.
Katika KIKAO CHA 23 CHA BODI YA WADHAMINI ya Mfuko wa Utamaduni Tanzania kilichofanyika Morogoro tarehe 17 - 22 Januari 2006, wajumbe wameridhia na kupitisha jumla ya miradi 54 kati ya maombi 498 yaliyopokelewa ya kupata msaada wa Mfuko.
Maombi hayo ni ya AWAMU YA NANE (8th Round) ya misaada ya Mfuko na yalipokelewa katika Sekretarieti ya Mfuko kati ya Julai na Septembe mwaka 2005.
Mfuko mwaka huu umeidhinisha ufadhili unaofikia kiasi cha shilingi 380, 933,720 (milioni mia tatu themanini mia tisa thelathini na tatu elfu mia saba ishirini). Kiwango hiki kina upungufu kwa kiasi cha shilingi 35,872,987 ukilinganisha na mwaka jana ambapo miradi iliyoidhinishwa ilipata msaada uliofikia shilingi 416,806,707.
Kati ya hizo shilingi 320,933,720 ni kwa ajili ya miradi ya kawaida na shiling milioni 60 ni kwa ajili ya miradi ya mabadilishano ya kiutamaduni. Miradi hii ni ile yenye malengo ya kukuza ushirikiano na uhusiano wa kimataifa katika maendeleo ya utamaduni.
|
 |
  |
Takwimu Muhimu
Jumla ya Miradi Iliyoidhinishwa Mwaka 2006
| Sn. |
Jimbo/Sekta
ndogo |
Idadi
ya wafadhiliwa mwaka 2006 |
Jumla
ya msaada mwaka 2006 (Tshs.) |
%
ya
miradi
yote |
| 1 |
Sanaa
za Ufundi - SU |
22 |
65,000,000.00 |
40.7 |
| 2 |
Urithi
wa Utamaduni UU |
5
|
42,244,720.00 |
9.3 |
| 3 |
Tasnia
za Utamaduni TU |
3 |
36,543,600.00 |
5.6 |
| 4 |
Fialamu,
Vielelezo vya Kuonekana na Kusikika
FVKK |
9 |
71,000,000.00 |
16.7 |
| 5 |
Lugha
na Fasihi LF |
8
|
39,978,300.00 |
14.8 |
| 6 |
Sanaa
za Maonesho - SM |
7 |
66,167,000.00 |
13.0 |
| |
Jumla |
54 |
320,933,720.00 |
|
|
|
 |
  |
Misaada
Kulingana na Makundi ya Walengwa katika
Majimbo Mwaka 2006
|
Na. |
KUNDI |
SU |
SM |
UU |
TU |
FVKK |
LF |
Jumla
|
| 1. |
Vikundi
|
8 |
4 |
1 |
|
3 |
|
16 |
| 2.
|
Chama
|
|
1 |
|
1 |
1 |
|
3 |
| 3.
|
Mtu
Binafsi |
Me |
2 |
|
2 |
|
|
5 |
9 |
| Ke |
7 |
|
1 |
|
1 |
2 |
11 |
| 4. |
Taasisi
za kiserikali |
|
|
1 |
1 |
1 |
|
3 |
| 5. |
NGO |
3 |
|
|
1 |
|
|
4 |
| 6. |
Kampuni/biashara
|
1 |
|
|
|
3 |
1 |
5 |
| 7. |
Taasisi
za mafunzo |
1 |
|
|
|
|
|
1 |
| 8. |
Taasisi
za Serikali za |
|
2 |
|
|
|
|
2 |
| |
Mitaa |
|
|
|
|
|
|
|
| |
JUMLA |
22 |
7 |
5 |
3 |
9 |
8 |
54 |
|
|
 |
|
 |
  |
Miradi Ambayo Waendeshaji
wake ni Wanawake Mwaka 2006
|
Na. |
MFADHILIWA |
MKOA |
AINA
YA MFADHILIWA |
JIMBO |
| 1.
|
Imelda Ishuza |
Morogoro |
Mtu
binafsi |
SU |
| 2.
|
Kalla
Simon |
Dar
es Salaam |
Mtu
binafsi |
SU |
| 3.
|
Ususi
Women Group |
|
Kikundi |
SU |
| 4. |
Nahavache
Women Group |
Kilimanjaro |
Kikundi |
SU |
| 5. |
Kiungi
Women Development Group |
Ruvuma |
Kikundi |
SU |
| 6. |
Kikundi
cha Maendeleo ya Wanawake |
Kagera |
Kikundi |
SU |
| 7. |
Eutropia
Casmir Msoka |
Dar
es Salaam |
Mtu
binafsi |
SU |
| 8. |
Maria
Emmanuel Nnko |
Arusha |
Mtu
binafsi |
SU |
| 9. |
Stella
Group |
Kilimanjaro |
Kikundi |
SU |
| 10. |
Beatrice
Joseph Shawa |
Dar
es Salaam |
Mtu
binafsi |
SU |
| 11. |
Agnes
Charles |
Coast |
Mtu
binafsi |
SU |
| 12. |
Januaria
Richard |
Arusha |
Mtu
binafsi |
SU |
| 13. |
Farida
Nyamachumbe |
Zanzibar |
Mtu
binafsi |
SU |
| 14. |
Sukuma
Star Art Group |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
SM |
| 15. |
Esteria
Mwatagu Mandira |
Mara |
Mtu
binafsi |
UU |
| 16. |
Monica
Lilian Cheche |
Tanga |
Mtu
binafsi |
LF |
| 17. |
Persis
Julius Munuo |
Dar
es Salaam |
Mtu
binafsi |
LF |
| 18. |
Chama
cha Wanawake Wasanii wa Sanaa za Maonyesho
Tanzania |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
SM |
| |
JUMLA |
Kutoka
mikoa 10 |
Vikundi:
7 |
Kutoka majimbo 4 |
| Watu
binafsi: 11 |
|
|
 |
  |
Mikoa Ilipo Miradi
Itakayofadhiliwa Mwaka 2006
|
Na. |
MKOA |
Sanaa
za
Maonyesho |
Filamu
na Vielelezo |
Tasnia
za
Utamaduni |
Urithi
wa
Utamaduni |
Lugha
na Fasihi |
Sanaa
za Ufundi |
Jumla
ya miradi katika mikoa |
| 1. |
Dar
es Salaam |
4 |
7 |
2 |
2 |
5 |
6 |
26 |
| 2.
|
Morogoro |
1 |
|
|
1 |
|
1 |
3 |
| 3.
|
Tanga |
|
|
|
|
1 |
|
1 |
| 4. |
Coast |
|
|
|
|
|
2 |
2 |
| 5. |
Kilimanjaro |
|
|
|
1 |
|
2 |
3 |
| 6. |
Arusha |
|
|
|
|
1 |
4 |
5 |
| 7. |
Iringa |
|
|
|
|
|
|
|
| 8. |
Ruvuma |
|
|
|
|
|
1 |
1 |
| 9. |
Mtwara |
|
|
|
|
|
1 |
1 |
| 10. |
Lindi |
1 |
|
|
|
|
|
1 |
| 11. |
Rukwa |
|
|
|
|
|
|
|
| 12. |
Mbeya |
1 |
|
|
|
|
|
1 |
| 13. |
Dodoma |
|
|
|
|
1 |
|
1 |
| 14. |
Singida |
|
|
|
|
|
1 |
1 |
| 15. |
Shinyanga |
|
|
|
|
|
|
|
| 16. |
Kigoma |
|
|
|
|
|
|
|
| 17. |
Mwanza |
|
|
|
|
|
|
|
| 18. |
Kagera |
|
|
|
1 |
|
3 |
4 |
| 19. |
Mara |
|
1 |
|
|
|
|
1 |
| 20. |
Manyara |
|
|
|
|
|
1 |
1 |
| 21. |
Tabora |
|
|
|
|
|
|
|
| 22. |
Zanzibar |
|
1 |
1 |
|
|
|
2 |
| |
Jumla
ya miradi katika Majimbo |
7 |
9 |
3 |
5 |
8 |
22 |
54 |
|
|
|
 |
  |
MUHIMU
Semina ya Wafadhiliwa
wa Mfuko imepangwa kufanyika katika
Ukumbi wa CHUO
KIKUU CHA KIISLAMU MOROGORO tarehe
Machi 20 - 23 , 2006
Wafadhiliwa wote
wanatakiwa kuhudhuria bila kukosa.
Mahudhurio ya semina hii ni moja ya
vigezo vinavyozingatiwa kabla ya kuanza
kutoa fedha.
MIRADI AMBAYO
WAENDESHAJI WAKE HAWATAHUDHURIA SEMINA
HII ITAKUWA IMEFUTA NAFASI YA KUPATA
RUZUKU MWAKA HUU.
WAFADHILIWA WATAKAOSHINDWA KUHUDHURIA
SEMINA MISAADA YAO ITAFUTWA. |
|
 |
 |
  |
WAFADHILIWA
WA JIMBO LA SANAA ZA UFUNDI NA
UCHORAJI
N. |
Jina
la mfadhiliwa |
Mradi |
Sehemu
anakotoka |
Aina
ya mfadhiliwa |
| 1.
|
Bukoba
Dissabled Assistance Project
(BUDAP) |
Uzalishaji
bidhaa za mikono |
Kagera |
NGO |
| 2.
|
Mtaka
cha Uvunguni Sharti Ainame
Group |
Ushonaji |
Singida |
Kikundi |
| 3.
|
Wonder
Workshop |
Warsha
ya taaluma ya uetengenezaji
karatasi |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
| 4. |
Social
Economic Development and
Environment Protection |
Ushonaji
na utengenezaji batik |
Kagera |
Kikundi |
| 5. |
Ususi
Women Group |
Ususi
wa bidhaa mbalimbali za
nyumbani |
Pwani |
Kikundi |
| 6. |
Lorenzo
Academy Taxidermists |
Sanaa
ya uchongaji wanyama na
kuwafunika na ngozi halisi
za wanyama hao |
Arusha |
Kikundi |
| 7. |
Nahavache
Women Group |
Mafunzo
ya sanaa za mikono |
Kilimanjaro |
Kikundi |
| 8. |
Kiungi
Women Development Group |
Mafunzo
ya utengenezaji na uuzaji
bidhaa za sanaa za mikono |
Ruvuma |
Kikundi |
| 9. |
Kikundi
cha Maendeleo ya Wanawake
(KMW) |
Mafunzo
ya utaalamu wa utengenezaji
wa batik |
Kagera |
Kikundi |
| 10. |
Tuinuane
Group |
Mafunzo
ya sanaa ya ufinyanzi wa
vyungu na bidhaa nyingine |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
| 11. |
Eutropia
Casmir Msoka |
Mafunzo
ya utaalamu wa kutengeza
bidhaa za sufi za nyumbai |
Dar
es Salaam |
Mtu
binafsi |
| 12. |
Maria
Emmanuel Nnko |
Utengenezaji
wa mavazi ya kiasili ya
makabila mbalimbali |
Arusha |
Mtu
binafsi |
| 13. |
Disabled
Art Vocational Center (DVC) |
Mafunzo
ya uchapishaji |
Dar
es Salaam |
NGO |
| 14. |
Stella
Group |
Warsha
ya utengenezaji wa bidhaa
za sanaa za mikono kwa kutumia
malighafi za asili |
Kilimanjaro |
Mtu
binafsi |
| 15. |
Mwita
Salum Shona |
Utengenezaji
wa majiko ya asili |
Mtwara |
Mtu
binafsi |
| 16. |
Beatrice
Joseph Shawa |
Mafunzo
ya sanaa za ufundi |
Dar
es Salaam |
Mtu
binafsi |
| 17. |
Imelda
Ishuza |
Mafunzo
ya taaluma ya masoko kwa
bidhaa za udongo/ufinyanzi |
Morogoro |
Mtu
binafsi |
| 18. |
Kall
Simon Chanimbaga |
Utengenezaji
wa mazulia na makapeti kwa
mashine za mikono (handloom) |
Dar
es Salaam |
Mtu
binafsi |
| 19. |
Mwalim
Lameck Nanyaro |
Mafunzo
ya zanaa za ufundi |
Manyara |
Mtu
binafsi |
| 20. |
Agnes
Charles |
Mafunzo
ya utengenezaji wa bidhaa
za ufinyanzi |
Pwani |
Mtu
binafsi |
| 21. |
Januaria
Richard |
Mafunzo
ya utengenezaji vifaa vya
sanaa |
Arusha |
Mtu
binafsi |
| 22. |
Motivation
for Self Employment Strategies
(MOSEST) |
Mafunzo
ya sanaa ya utengenezaji
bidhaa za shanga |
Arusha |
Kikundi |
|
|
 |
 |
WAFADHILIWA
WA JIMBO LA TASNIA ZA UTAMADUNI
Na. |
Jina
la mfadhiliwa |
Mradi |
Sehemu
anakotoka |
Aina
ya mfadhiliwa |
| 1.
|
Tanzania
Theatre Centre (TZTC) |
Kuendesha
warsha ya taaluma ya Utawala katika
Sanaa ya Jukwaani kwa wanachama |
Sehemu
aliko |
NGO |
| 2.
|
Baraza
la Sanaa la Taifa (BASATA) |
Kuendesha
mafunzo kwa wasanii wa sanaa ya
jukwaani |
Dar
es Salaam |
Taasisi
ya Kiserikali |
| 3.
|
Copyright
Society of Zanzibar (COSOZA) |
Kuelimisha
jamii umuhimu wa sheria na taratibu
zinazohusu Hakimiliki na mirabaha |
Zanzibar |
Taasisi
ya Kiserikali |
|
|
 |
  |
WAFADHILIWA
WA JIMBO LA URITHI WA UTAMADUNI
Na. |
Jina
la mfadhiliwa |
Mradi |
Sehemu
anakotoka |
Aina
ya mfadhiliwa |
| 1.
|
National
Museum of Tanzania |
Kuendesha
warsha ya taaluma ya uandaaji
na uratibu Mkipango Mkakati
ya Muda wa Kati |
Dar
es Salaam |
Taasisi
ya Kiserikali |
| 2.
|
Kingalu
Urithi Wetu na Maendeleo
(KIWAMO) |
Kuelimisha
na kutangaza umma juu ya
umuhimu na nafasi ya Chifu
wa Waluguru (Kingalu) katika
historia ya jamii ya Waluguru |
Morogoro |
Kikundi |
| 3.
|
Profesa
Fidelis T. Masao |
Kufanya
utafiti wa akiolojia mkoani
Mtwara |
Dar
es Salaam |
Mtu
binafsi |
| 4. |
Esteria
Mwatagu Mandira |
Kampeni
ya kuondosha mila potofu
ya tohara kwa wanawake Kata
ya Hanyari, Wilaya ya Bunda,
Mara |
Mara |
Mtu
binafsi |
| 5. |
Dk.
Daniel K. Ndagala |
Utafiti
na ukusanyaji vifaa vya
makumbusho, uandaaji maonyesho
ya makumbusho na kufungua
kwa rasmi makumbusho kwa
jamii |
Kagera |
Mtu
binafsi |
|
|
 |
 |
  |
WAFADHILIWA
WA JIMBO LA FILAMU NA VIELELEZO
VYA KUONEKANA NA KUSIKIKA
Sn. |
Jina
la mfadhiliwa |
Mradi |
Sehemu
anakotoka |
Aina
ya mfadhiliwa |
| 1.
|
Farida
Nyama Chumbe |
Kutengeneza
sehemu 13 za Mchezo wa TV |
Zanzibar |
Mtu
binafsi |
| 2.
|
Tanzania
Screen Writers Forum |
Utafiti
na kukuza ujuzi wa taaluma ya
uandishi na utengenezaji wa sinema
na vipindi vya TV |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
| 3.
|
Dhahabu
Arts Group |
Kuhifadhi
muziki wa asili katika video |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
| 4. |
MG
Graphics |
Kutengeneza
filamu ya Kampeni Dhidi ya Unajisi/Udhalilishaji
wa Wanawake na Watoto |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
| 5. |
Tanzania
Arts Promotion |
Kutengeneza
filamu ya kampeni dhidi ya mila
za kurithi wajane |
Mara |
NGO |
| 6. |
Kassim
Mtingwa (IAMCO) |
Mradi
wa kozi fupi ya taaluma ya utengenezaji
wa vipindi vya TV na filamu fupi |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
| 7. |
Mawazo
Art Gallery Cafe |
Utafiti
wa picha kuhusu mambo mbalimbali
ya Tanzania na kuyahifadhi kama
kitabu |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
| 8. |
Tanzania
Usawa Arts Group |
Kutengeneza
filamu kuhusu wanawake wa Mkoa
wa Pwani |
Dar
es Salaam |
Kikundi |
| 9. |
Media
One Productions |
Kutengeneza
filamu na vikatuni tano za Kiswahili
za kuelimisha na kuburudisha |
Dar
es Salaam |
NGO |
|
|
 |
  |
| WAFADHILIWA
WA JIMBO LA LUGHA NA FASIHI
|
Na. |
Jina
la mfadhiliwa |
Mradi |
Sehemu
anakotoka |
Aina
ya mfadhiliwa |
| 1.
|
Denis
H. E. Mangwela |
Kuchapisha
kitabu “Waandishi
wa Vitabu Kanda ya Kati”.
|
Dodoma |
Mtu
binafsi |
|
2.
|
Gervas
Tata Mlola |
Kuandika
na kuchapisha kitabu kuhusu
mila na desturi za makabila
14 ya Kaskazini Mashariki
mwa Tanzania |
Arusha |
Mtu
binafsi |
| 3.
|
Monica
Lilian Cheche |
Kuandika
na kufundisha mashairi |
Tanga |
Mtu
binafsi |
| 4. |
Brigedia
Generali Mstaafu Francis
Xavier Mbenna |
Kutafiti
na kuandika mswada wa kitabu
| | | | | | |