 |
| |
 |
| |
| Viunganisho : |
| |
|
 |
 |
 |
 |
 |
  |
Zinajumuisha
wasanii, Vyama na asasi zinazoshughulikia
ngoma, drama, muziki na shughuli nyingine
za sanaa za maonyesho. |
 Maelezo
zaidi |
|
 |
 |
 |
 |
 |
 |
  |
Unahusisha
asasi za makumbusho, nyaraka na uhifadhi wa
mambo ya kale. Hasa inahusu utambulisho, uhifadhi
na ulinzi wa amali za utamaduni na za asili,
majengo ya kihistoria na maeneo ya akiolojia. |
 Maelezo
zaidi |
|
 |
 |
 |
 |
 |
 |
  |
Hasa zinajumuisha
wachapishaji wa vitabu, kampuni za utalii
wa utamaduni, kampuni za biashara na wakala
wa vitu vya utamaduni. Jimbo hili limepania
kukuza na kuendeleza bidhaa na huduma zinazotokana
na tasnia za utamaduni. |
 Maelezo
zaidi |
|
 |
 |
 |
 |
 |
 |
  |
Jimbo
hili linaundwa na asasi za uchoraji na sanaa
za ufundi, nyumba za sanaa na wasanii wanaojihusisha
katika uchoraji, uchongaji na ufundi stadi. |
 Maelezo
zaidi |
|
 |
 |
 |
 |
 |
 |
  |
Hili
linashughulika na lugha na uandishi na hasa
linaundwa na asasi za waandishi, lugha na
fasihi pamoja na waandishi wa vyombo vya habari. |
 Maelezo
zaidi |
|
 |
 |
 |
 |
 |
 |
  |
Hili
linajumuisha mashirika ya habari, filamu na
kampuni nyingi za habari, waigizaji, watengenezaji
na waongozaji binafsi pamoja na asasi zinazoshughulika
na uzalishaji, usambazaji na uonyeshaji filamu
na vielelezo vya kusikika na kuona. |
 Maelezo
zaidi |
|
 |
 |
 |
|
|